Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Leo is my GoatšŸ¤[emoji171]

[emoji238]….
IMG_1238.jpg
 
Bongo tu ndio swala la Morroco wamechulia siriaz sana kama amewaibia mke wao tena wengine wanafuata mkumbo tu maneno ya vijiweni bila kufuatilia mfano watu wengi nimewasikia kutokana na sakata hili eti "Morroco wamesema wao sio waAfrica ni Waarabu" na wabongo wengi mitaani wanaenda na upepo huo kumbe kosa ni kutoitaja africa kwenye ushindi na wala hawajasema kauli yeyote mbaya kuhusu Africa.

Vilevile kwenye Page kubwa za soka waAfrica wengi wako positive kuhusu swala hili na wanasapoti Morroco ila ukija bongo comments utacheka mpaka upasuke chuki na wivu uliopitiliza ..View attachment 2443586

View attachment 2443587

Hata kwenye SkySports haijaandikwa Arab team ni Africa team wao kivyovyote no wawakilishi wa Africa tu hata wakitolewa wamejitahidi sana.View attachment 2443588
Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)

Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TEAM MORROCO NA ARGENTINA ON TOP
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji119]

WENGINE WA SENEGAL NA BRASSIL NA URENO MTESEKE TU NA HALI ZENU
 
Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)

Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
ungeshabikia timu ya taifa jingine vs timu ya taifa lako?
nyie ndio ambao mkienda vitani huwa mnawekwa mbele ili mkufe
 
Hivi chama letu pendwa la vamonooooss acuna hatocheza kesho ana yellow card tatu zenye kufuatana?
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?
Nimeinukuu pembeni hii final ikifika tutakumbushana
 
½ fainali ya kwnz kushuhudiwa kesho duniani kote... Mwenye uwezo wake kutinga fainali akimsubiri mtabe mwenzie kutoka ½ fainali ya pili kesho kutwa...

Tukae kwa kutulia tu wazeia, "ngoma inogile" hii.... Yote kwa yote, tutashuhudia mpira mzuri katika ½ fainali zote 2. Kifupi usikosee kucheki kwani hutojuta kutumia muda wako....

Karibuni sanaaaa.......
 
½ fainali ya kwnz kushuhudiwa kesho duniani kote... Mwenye uwezo wake kutinga fainali akimsubiri mtabe mwenzio kutoka ½ fainali ya pili kesho kutwa...

Tukae kwa kutulia tu wazeia, "ngoma inogile" hii.... Yote kwa yote, tutashuhudia mpira mzuri katika ½ fainali zote 2. Kifupi usikosee kucheki kwani hutojuta kutumia muda wako....

Karibuni sanaaaa.......
Mm presha iko juu utafkr mm ndo nachezA
 
Back
Top Bottom