Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)

Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TEAM MORROCO NA ARGENTINA ON TOP
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji119]


WENGINE WA SENEGAL NA BRASSIL NA URENO MTESEKE TU NA HALI ZENU
 
ungeshabikia timu ya taifa jingine vs timu ya taifa lako?
nyie ndio ambao mkienda vitani huwa mnawekwa mbele ili mkufe
 
Hivi chama letu pendwa la vamonooooss acuna hatocheza kesho ana yellow card tatu zenye kufuatana?
 
😂😂😂 Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?
Nimeinukuu pembeni hii final ikifika tutakumbushana
 
½ fainali ya kwnz kushuhudiwa kesho duniani kote... Mwenye uwezo wake kutinga fainali akimsubiri mtabe mwenzie kutoka ½ fainali ya pili kesho kutwa...

Tukae kwa kutulia tu wazeia, "ngoma inogile" hii.... Yote kwa yote, tutashuhudia mpira mzuri katika ½ fainali zote 2. Kifupi usikosee kucheki kwani hutojuta kutumia muda wako....

Karibuni sanaaaa.......
 
Mm presha iko juu utafkr mm ndo nachezA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…