Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Baada ya Brazil kutolewa, sasa nimehamishia sala na dua zangu kwa Ufaransa. Waarabu, Waislam wa Morocco, Wazungu wa Croatia, na Waajentina; mtanisamehe sana.

Ahueni kwenye kikosi cha Ufaransa kuna Wabantu wenzangu, hata kama hawakuzaliwa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…