Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

View attachment 2443058
Hii picha ya Ronaldo ki ubinadamu inaniumiza sana...I feel his sadness
Sisi mashabiki hatujui wanavyojisikia pale wanaposhindwa kufikia malengo yao... poleni sana.. hata Messi nae akitolewa atalia na nitajisikia vibaya pia kama ilivyokua pia kwa Neymar Jr...
Sure,hata mimi ni supporter wa Messi ila nilijikuta kuingiwa na huruma kwa CR7 kwa hali aliyokua nayo baada ya mechi,ukichanganya na uchungu aliokua nao wakuanzia bench.
 
Mashabiki wa Lionel Messi na Argentina kwa ujumla mliopo hapa DOHA QATAR

Leo andaeni lesso za kutosha coz Croatia inaenda kupeleka Msiba mwingine mkubwa America ya kusini ( Argentina)

Ile ndoto kubwa iliyokua inasubiriwa na hii generation ya kina Messi haitakaa itimie



Sent using Jamii Forums mobile app
Tulianza na Mungu, tunatembea na Mungu tutamaliza na Mungu.
Mungu hajawahi kutuangusha. Ndo maana hata kwenye kupiga zile penalty za juzi wachezaji walipiga dua kwanza.
Kwa uwezo wa Mungu kombe litakuwa letu
 
VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Leo is my Goat🤍[emoji171]

[emoji238]….
IMG_1259.jpg
 
Back
Top Bottom