Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kabisa!!! Namie nipo Croatia usintanieeee 😁😎Baada ya neymar na cr7 kulia hadharani.
Leo zamu ya messi kulia 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa!!! Namie nipo Croatia usintanieeee 😁😎Baada ya neymar na cr7 kulia hadharani.
Leo zamu ya messi kulia 😁
HayaaKabisa!!! Namie nipo Croatia usintanieeee 😁😎
Sure,hata mimi ni supporter wa Messi ila nilijikuta kuingiwa na huruma kwa CR7 kwa hali aliyokua nayo baada ya mechi,ukichanganya na uchungu aliokua nao wakuanzia bench.View attachment 2443058
Hii picha ya Ronaldo ki ubinadamu inaniumiza sana...I feel his sadness
Sisi mashabiki hatujui wanavyojisikia pale wanaposhindwa kufikia malengo yao... poleni sana.. hata Messi nae akitolewa atalia na nitajisikia vibaya pia kama ilivyokua pia kwa Neymar Jr...
Nipo vyediiii sema naogopa matuta tu😁😁😁!! Hapo nakua na preshaaaaa!Hayaa
tusubiri saa 00:30 itaamua.
Hakikisha tu BP iko vizuri muda mfupi kabla ya mechii
Hakuna mkoloni wala Upinde yoyote atakae chukua kombe mwaka huu.Wala hakutakuwa na haja ya kukumbusha maana bingwa wa WC ni Ufaransa.
😁 OkNipo vyediiii sema naogopa matuta tu😁😁😁!! Hapo nakua na preshaaaaa!
Tulianza na Mungu, tunatembea na Mungu tutamaliza na Mungu.Mashabiki wa Lionel Messi na Argentina kwa ujumla mliopo hapa DOHA QATAR
Leo andaeni lesso za kutosha coz Croatia inaenda kupeleka Msiba mwingine mkubwa America ya kusini ( Argentina)
Ile ndoto kubwa iliyokua inasubiriwa na hii generation ya kina Messi haitakaa itimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa 4 usikuLeo mechi ni saa ngapi wakuu??
Asante mamy!Saa 4 usiku
Messi haondokiii hadi mwisho... utaonaBaada ya neymar na cr7 kulia hadharani.
Leo zamu ya messi kulia 😁
Ur welcomeAsante mamy!
Vamosssssssss ArgentinaHatimaye siku imefika. Leo Modric na wenzie wanapigwa kama ngoma
Kwa yule kipa wa croatia ni utasali sala zotee 😁Sio kwa maombi haya ninayopiga. Mungu atawapa ushindi 🇦🇷 ili apate utukufu na sifa. Maombi ninayopiga hapa sio buree
Leo ❤❤❤❤❤❤❤VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Leo is my Goat🤍[emoji171]
[emoji238]….View attachment 2444733