Messi 🐐 anakuvuruga akiliiiPale ulipoandika ushabiki nilisoma kama unafki
Hizi Tecno hizi sometimes
Mbuzi anafia Kwa muuza supuHuyo GOAT wenu leo anaenda kuchemshwa supu
Bora sie angalau bado tuna nafasi ya kubeba kombe nyie team Ronaldo nafasi yenu ni 0.000000001 😂😂😂😂Hivi nyie mashabiki wa Messi kombe mnalichukuliaje?
Wanadhani ni kikombe cha maji ya kunywa ambacho kila mtu ananyanyua kwapa kunywa[emoji1787]Hivi nyie mashabiki wa Messi kombe mnalichukuliaje?
[emoji238] mahesabu yake ni extraordinary yani beyond humanity
Muacheni apate heshima yakee
kwa jinsi nilivyocheki kwenye games zenu zilizopita hamna timu ya kumfunga Croatia
Nyie mna nafasi ya kushiriki hatua ya nusu fainali pamoja na kucheza playoffSo Bora sie angalau bado tuna nafasi ya kubeba kombe nyie team Ronaldo nafasi yenu ni 0.000000001 😂😂😂😂
Mpaka saizi ni timu mbili tu ambazo hatuelewi zimefikaje hapa zilipoCroatia ana kikosi gani cha kumfunga Argentina?? Toka makundi wamekua watu wa bhati kuanzia game ya Morocco, Belgium, Japan, Brazil kote wamepita kibahati leo hakuna bht ni kichapo
Sijajua mkuuHii mechi TBC wataonyesha kwa wenye azam!?
Greatest Of All Time rejea uzi namba 233nazitabiria team nyingi za Afrika kufika hatua za mtoano, robo, nusu hata fainali.
mzabzab rejea uzi namba 233. now I'm high mwendo wa sativaAre u high on drugs?
Max mello hebu mfanye mpango mnikutanishe na Messi
Hivi anajua ninavyompambania hapa jukwaani?
I wish hata kama amestaafu siku moja nimshike mkono nimpongezeee