Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

So Bora sie angalau bado tuna nafasi ya kubeba kombe nyie team Ronaldo nafasi yenu ni 0.000000001 😂😂😂😂
Nyie mna nafasi ya kushiriki hatua ya nusu fainali pamoja na kucheza playoff

Hamna nafasi zaidi ya hapo lakini sio mbaya kujipa matumaini
 
Golini tuna kipa anaweza kudaka hata mashuti ya Shaolin soccer. Croatia leo anakufa kirahisi kabisa
49458ffc3148c29bdb1718f4930f8819.png
 
Croatia ana kikosi gani cha kumfunga Argentina?? Toka makundi wamekua watu wa bhati kuanzia game ya Morocco, Belgium, Japan, Brazil kote wamepita kibahati leo hakuna bht ni kichapo
Mpaka saizi ni timu mbili tu ambazo hatuelewi zimefikaje hapa zilipo

Argentina na Morrocco kila mtu anajiuliza imekuwaje wakafika nusu fainali

Messi na penati 3 lakini bado yuko chini ya Mbappe

Bila penati hata hizo goli 4 asingefikisha, na hiyo kwasababu hawezi ku fight hard kama Mbappe
 
Ismail Elfath (referee aliyechezesha match ya Brazil na Cameroon) akipewa match ya Croatia na Argentina naamini Argentina hatokwenda popote....

Argentina alibebwa na Yule referee muhuni aliyewachezesha katika 16 Bora

Ngoja tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
½ fainali ya kwanza ndani ya nyumba leo wakuu, hukuna haja ya kueleza chochote... tusubiri kucheki dk 90 au 120.... Uzuri ni kwamba mmoja lazima aende fainali, ni nani huyo siyo kazi yangu wala kazi yetu wakuu.

Ball safi, kandanda kiwango ndiyo tunaenda kushuhudia leo hii... Uwezo ndiyo utaamua nani zaidi kati yao. Atakaezidiwa uwezo, mbinu na mikakati ndani ya dk 90 au 120 mwenzake anapenya zake huyo fainali...

Kila timu itacheza kufa kupona, patashika nguo kuchanika ili kujaribu kushinda kwenda fainali, na hii ndiyo itafanya uwe ni mchezo wa kuvutia usiotamani muda uishe, kifupi ngoma inogile wazeia....

Nawakaribisha wote kushuhudia ball likitembea huku tukiinjoi ufundi wa mchezaji mmoja mmoja na wa timu zote kwa ujumla wake ....
 
Max mello hebu mfanye mpango mnikutanishe na Messi
Hivi anajua ninavyompambania hapa jukwaani?
I wish hata kama amestaafu siku moja nimshike mkono nimpongezeee

Tujipange tena twende US kama akienda MLA, mara ya kwanza na ya mwisho was 2010 kule kwa madiba.

Leo is my Goat🤍[emoji171]

[emoji238]….
 
Back
Top Bottom