Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
SawaMkuu messi atalia tarehe 18 pale ambapo hataamini macho yake kuona anaipatia Argentina kombe LA dunia huku vibwengo wengine wooooote wakitafuta pa kuficha sura zao
Mimi baadaye ntakutafuta saa 6 usiku ili unielezee vizuri huku nikiwa nimeshika bakora yangu mkononi