Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hasta la vista baby 👋Mtaa wa Argentina huu
Full blue , nyeupe na njano kwa mbaaaliiiii
ukikatiza uwe umejikoki
View attachment 2445330
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasta la vista baby 👋Mtaa wa Argentina huu
Full blue , nyeupe na njano kwa mbaaaliiiii
ukikatiza uwe umejikoki
View attachment 2445330
Poa tu 😂😂😂 hata likienda kwao haitoniumaUtaumbuka binti mrembo.
Kuhakikisha unabaki na urembo wako kama Cleopatra, penda Morocco.
Morocco ndio bingwa wa kombe hili.
Muliongea hivyo kwa Hispania tukapasua.Unakaa unategemea Morocco amtoe France, Unapoteza muda. Subiri muda ufike mbappe awapelekee moto
2014 Messi alimwaga chozi, Hivyo hivyo 2018 Leo pia utashuhudia akitoa mlio wa uchungu kwani ndio world cup yake ya mwishoNdoto ya saa hizi mkuu mbona ni mbaya sana? Wenzako juzi waliota wakaja zinduliwa na shangwe za ushindi wa Argentina [emoji1033]
Sasa wewe zinduka mapemaaa
Jiunge na team ushindiii team [emoji238]
Team leo
Kumbuka Ziyech wa Chelsea yuko Morocco, usiseme sijakuambia.Poa tu [emoji23][emoji23][emoji23] hata likienda kwao haitoniuma
Ila furaha yangu itafika peak kama likienda France
Morocco nilikuww nao tokea wanaanza
Ila kesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]
Waspaniola walisema hivyohivyo,Unakaa unategemea Morocco amtoe France, Unapoteza muda. Subiri muda ufike mbappe awapelekee moto
Me pia,i feel for lucamoGame ya leo yeyote tu ashinde.
Lakini ukiniambie nimchague nani, naomba Croatia ashinde ili tumalizie tulipo ishia kwenye game ya kwanza ya makundi.
NajuaaaaKumbuka Ziyech wa Chelsea yuko Morocco, usiseme sijakuambia.
Morocco ndio bingwa.
👋👋👋Hasta la vista baby 👋
Atatoa chozi la ushindi. Mpira 90mnts let's see2014 Messi alimwaga chozi, Hivyo hivyo 2018 Leo pia utashuhudia akitoa mlio wa uchungu kwani ndio world cup yake ya mwisho
Wakati huo nyie team Ronaldo mmesharudi home 😂😂😂Nyie mna nafasi ya kushiriki hatua ya nusu fainali pamoja na kucheza playoff
Hamna nafasi zaidi ya hapo lakini sio mbaya kujipa matumaini
Ndo hawa waisilamu wenyew???Mnamwona huyu mwanamke
View attachment 2445345
Huyu ndiye muke ya HAKIMI masikini ajiandae kumbembeleza mumewe hapo kesho.
[emoji23]Mnamwona huyu mwanamke
View attachment 2445345
Huyu ndiye muke ya HAKIMI masikini ajiandae kumbembeleza mumewe hapo kesho.