Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
SawaMkuu messi atalia tarehe 18 pale ambapo hataamini macho yake kuona anaipatia Argentina kombe LA dunia huku vibwengo wengine wooooote wakitafuta pa kuficha sura zao
Kuwa na amani tbc anaonyesha zote hadi fainali,tbc ya mama samia wanaupiga mwingi sanaWadau naomba kuuliza vipi mechi ya leo TBC wataonesha?
Ya Agentina vs Croatia
Maana huku niliko ni DSTVs shughuli ziko kwa wachache tena mabandani kama hawaonyeshi nianze mdogo mdogo nikawahi siti na safari ya kufika huko
Nachotea kwenye bahat nasibu?[emoji28][emoji28][emoji28]kuna chota mihela mkuu
Iko wazi Argentina na Morocco wanaagaFinal
France v Croatia
Winner: France.
Acha uchawi kijana.Mimi kama shabiki wa Argentina namtaka sana France ili fainali inoge...
Pia,tulipe kisasi chetu kwa kututoa 2018 kwa bao 4
Morocco nakupenda sana ila hatua uliyofika inatosha!
"Mtoto mdogo mchawi."Mungu Saidia kesho Morocco apigwe kama ngoma
Andaa Lesso DadaTulianza na Mungu, tunatembea na Mungu tutamaliza na Mungu.
Mungu hajawahi kutuangusha. Ndo maana hata kwenye kupiga zile penalty za juzi wachezaji walipiga dua kwanza.
Kwa uwezo wa Mungu kombe litakuwa letu
Ndoto ya saa hizi mkuu mbona ni mbaya sana? Wenzako juzi waliota wakaja zinduliwa na shangwe za ushindi wa Argentina π¦π·Iko wazi Argentina na Morocco wanaaga
Unakaa unategemea Morocco amtoe France, Unapoteza muda. Subiri muda ufike mbappe awapelekee moto"Mtoto mdogo mchawi."
Morocco ndio kiboko yenu.
Utaumbuka binti mrembo.Nikiwaleta mababes wangu Morocco na France, wa France wanashindaaa
Ah basi wasiniangushe mie crush wao
Uzalendo na uarabu kesho Nehiiiiiii
Labda ya kujipepelea na kujifutia jasho baada ya kushangilia ushindi