Ila kweli the oranges wako vzrHv uholanzi mmewasahau eti au mnajizima data
Hivi wenzangu mnaotizama mpira nyumbani mko wenyewe hampigi makofi na kelele za hapa na pale [emoji1787][emoji1787]
Wakiongeza waongeze TanzaniaHalafu eti tunataka tuongezewe team wawakilishi africa , aibu tupu.
Hawakuonyesha direct kama walimalizana
Ukweli mchunguSenegal wameanza vibaya
Pale Mendy utamlaumu vipi? Timu yake ndo imemuangusha.Niende uzi wa chesii sasa nikasome lawama
Manake kwa walioshinda mechi ya leo ndio wana nafasi kubwa kukuzidi wewe uliyepotezaTumshukuru Mungu ipo nafasi bado.
Hivi kama sisi tunasikitika je Qatar wasemeje
Hizi timu huwa ni kuziangalia tu ukisema uziwekee mategemeo makubwa utaliaWaafrica ni Wafrica tuu
Pengo la Sadio Mane linaonekana live, na pia zile subs za injury zimetucost leo.. Ila naamini bado tuna nafasi ya kuvuka hapa.. #Senegal
Ni shabiki maandazi pekee ndo ataona Mendy kazinguaPale Mendy utamlaumu vipi? Timu yake ndo imemuangusha.
Mimi kama Chelsea Fan, sijaona kosa lake, goli la mwisho mpira umepigwa counter akauchomoa,mabeki hawakiwepo, bado akajitahidi ufata akiwa chini ila ndo hivyo mpira ina matokeo 3
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndio muwache kuvibania hizo pochi manyoya🤣🤣🤣🤣Na tuvizungushe haswaaa
Soon tutajumuika woteMkuu nikishadeclare interest Mimi ni Argentina
Netherlands
Brazil huko Africa nitakuwa kwa mkopo tu, 😂😂
Yaani nitakuwa team ya Africa Kama haichezi na team hizo
Vinginevyo ndugu zangu mtanisamehe
Yaani nilipitia makundi hili ndio jepesi jililiona hatutoboi tena msimu huu.Manake kwa walioshinda mechi ya leo ndio wana nafasi kubwa kukuzidi wewe uliyepoteza
Mpaka najiuliza au sazi ni switch upande?
Sioni dalili kwa timu za Africa labda kama hao waliobaki waje na mbinu mpya aisee
Afu ni mrefuuuu ka ngongotiKipa wa Uholanzi naye apewe sifa zake maana ameokoa michomo 4 ya hatari
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Leo saa 4 ni USA na WalesWakuu ratiba ikoje next kwa match za kund A