Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Niende uzi wa chesii sasa nikasome lawama
Pale Mendy utamlaumu vipi? Timu yake ndo imemuangusha.
Mimi kama Chelsea Fan, sijaona kosa lake, goli la mwisho mpira umepigwa counter akauchomoa,mabeki hawakiwepo, bado akajitahidi ufata akiwa chini ila ndo hivyo mpira ina matokeo 3

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tumshukuru Mungu ipo nafasi bado.
Hivi kama sisi tunasikitika je Qatar wasemeje
Manake kwa walioshinda mechi ya leo ndio wana nafasi kubwa kukuzidi wewe uliyepoteza

Mpaka najiuliza au sazi ni switch upande?

Sioni dalili kwa timu za Africa labda kama hao waliobaki waje na mbinu mpya aisee
 
Pale Mendy utamlaumu vipi? Timu yake ndo imemuangusha.
Mimi kama Chelsea Fan, sijaona kosa lake, goli la mwisho mpira umepigwa counter akauchomoa,mabeki hawakiwepo, bado akajitahidi ufata akiwa chini ila ndo hivyo mpira ina matokeo 3

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni shabiki maandazi pekee ndo ataona Mendy kazingua
Akiongozwa na Saint Anne

Me nimesema niende tu kusoma lawama. As iko clearly goal zote hata angekuwa nani pale asingetoboaa
 
Mkuu nikishadeclare interest Mimi ni Argentina
Netherlands
Brazil huko Africa nitakuwa kwa mkopo tu, 😂😂
Yaani nitakuwa team ya Africa Kama haichezi na team hizo
Vinginevyo ndugu zangu mtanisamehe
Soon tutajumuika wote

Nimewapa nafasi ya mwisho kwa hawa waliobaki nicheki upepo wao

Wakifakisha nakuja na formation yako japo penye Argentina hapo atakaa Portugal na Netherland atapungua kupisha nafasi ya France
 
Manake kwa walioshinda mechi ya leo ndio wana nafasi kubwa kukuzidi wewe uliyepoteza

Mpaka najiuliza au sazi ni switch upande?

Sioni dalili kwa timu za Africa labda kama hao waliobaki waje na mbinu mpya aisee
Yaani nilipitia makundi hili ndio jepesi jililiona hatutoboi tena msimu huu.

ila kiuhalisia team zetu hata wachezaji wa kiwango cha juu ni wa kutafuta sana. wengi ni wale wanatoka team za kawaida sana ulaya.
 
Kanuni ni ileile2 kwa wazee wa mikeka all African team to loose against Europeans team
 
Back
Top Bottom