Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Roho hainiumi hata kidogo, sijui ni sababu ndio kwanza kombe limekucha
 
Nilichobaini nimegundua kiwango cha mpira kwa muafrika aliyezaliwa Afrika ni cha mashaka sana

Hapa nakumbuka kauli ya Ferguson kuwa Mbappe angezaliwa Afrika asingekuwa hivi alivyo

Senegal wameniangusha sana, yani hizi goli zingefungwa first half isingeniuma sana

Ila second half dakika ya 85 na lile la mwisho dakika ya 98 sekunde ya 30

Basi tu
Holland kuua mechi ndio michezo Yao hiyo tatizo ugeni wa kutazama mechi ndio unawafanya muone kitu Cha ajabu
 
Nilichobaini nimegundua kiwango cha mpira kwa muafrika aliyezaliwa Afrika ni cha mashaka sana

Hapa nakumbuka kauli ya Ferguson kuwa Mbappe angezaliwa Afrika asingekuwa hivi alivyo

Senegal wameniangusha sana, yani hizi goli zingefungwa first half isingeniuma sana

Ila second half dakika ya 85 na lile la mwisho dakika ya 98 sekunde ya 30

Basi tu
Hata umchukue mbape umuweke na hawa wengine nae atafanana nao.

sijui kipindi kile akina etoo walikuwa wanakiwasha sijui waliwezaje?
 
Ni shabiki maandazi pekee ndo ataona Mendy kazingua
Akiongozwa na Saint Anne

Me nimesema niende tu kusoma lawama. As iko clearly goal zote hata angekuwa nani pale asingetoboaa
Nilijua tu Senegal watatoka na gundu
Wamejaza michezaji imetoka na gundu kwenye club zao🤣
 
Asante mzee van gaal hujaniangusha

Mechi ya mwisho usiku huu nitakuwa upande wa mabepari USA dhidi ya vitukuu vya malkia wales

Usingizi unanininyemelea toka saa kumi sijanyanyuka
 
Back
Top Bottom