Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu acha kutoa vitisho [emoji23].

Sisi team La Albiceleste tuko tyr na safar yetu ya ubingwa ambayo inaanza kesho sa7 kamili mchana[emoji1033][emoji41].

Mimi world cup uwa nina Team 1 tu [emoji1033] ikitoka kwa bht Mby bas ntaenjoy mpr tu bas.

Ngoja tuone mkuu, ila sio rahisi kiivo[emoji3][emoji3]
 
Ngoja tuone mkuu, ila sio rahisi kiivo[emoji3][emoji3]
Hakuna sehem mkuu tumesema ni rahis..lkn nakuhakikishia tutafia uwanjan ilmrad turud na iyo ndoo Buenos Aires.

Najua watu wengne especially wanazi wa cr7 weng hawatak kusikia sisi ni moja ya strong favorites lkn trust me hakuna Team ambayo inataman kutana na hii Argentina ya sasa. Mda utaongea mkuu.
 
Naona sasa hivi utakuwa unapita kimya kimya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hawafiki mbali England na Argentina vikombe watasikia redioni tu ila makundi hata 16 bora watavuka coz wamepangiwa na vibonde ,mimi nina uzoefu wa kuwa hater na timu ninazozichukia zinafeli mwishoni.
 
Back
Top Bottom