Mr Miyagi
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 935
- 1,665
[emoji23][emoji23] Eti Kibaigwa,sio Kingolirwa Chief[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kutoa vitisho [emoji23].
Sisi team La Albiceleste tuko tyr na safar yetu ya ubingwa ambayo inaanza kesho sa7 kamili mchana[emoji1033][emoji41].
Mimi world cup uwa nina Team 1 tu [emoji1033] ikitoka kwa bht Mby bas ntaenjoy mpr tu bas.
Tanzania ya Ulaya tunacheza lini? Gentina na Braz?
Dstv wanaonesha chanel gan mechi hii? Nahangaika hapa
Ghana.Tutembee na Ghana aise
222 au 223 kwa kiswahili
Wales wanasumbua mahakama
Tutawapa Bun ya Kuingia USA
Hakuna sehem mkuu tumesema ni rahis..lkn nakuhakikishia tutafia uwanjan ilmrad turud na iyo ndoo Buenos Aires.Ngoja tuone mkuu, ila sio rahisi kiivo[emoji3][emoji3]
Hawafiki mbali England na Argentina vikombe watasikia redioni tu ila makundi hata 16 bora watavuka coz wamepangiwa na vibonde ,mimi nina uzoefu wa kuwa hater na timu ninazozichukia zinafeli mwishoni.
USA wapo vizuri bwana Sio wale tena awa Ata Senegal wanamfuma vizur kabisa