Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna uvumi unaoenea kuwa Messi hatoweza kucheza mechi ya kesho eti amepata injury, ni kweli?
 
Hatua ya makundi ina timu mdebwedo huku ndio akina Thomas Muller huwa wanajitwalia tuzo ya mfungaji bora
Ndo maana hata kesho sa7 mchana naomba mzee bb LA pulga atomical aweke sio chini ya 2..pa1 yy objective yake sik zote uwa ni kucheza vzr na kusaidia sana team kuliko magoal yake binafs.
 
Back
Top Bottom