Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna forum huko ma pandits gwiji ya kizungu naona yote yanakubaliana yameziua timu zote za Afrika na waarabu akina Saudi na dugu muajemi mzunguko wa kwanza. Wacha niyafuate naona kama hayakosei
 
Team Argentina nawacheki tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili kombe atayechukua hamtaamini.
Mkuu acha kutoa vitisho [emoji23].

Sisi team La Albiceleste tuko tyr na safar yetu ya ubingwa ambayo inaanza kesho sa7 kamili mchana[emoji1033][emoji41].

Mimi world cup uwa nina Team 1 tu [emoji1033] ikitoka kwa bht Mby bas ntaenjoy mpr tu bas.
 
Back
Top Bottom