ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
222, 223Dstv wanaonesha chanel gan mechi hii? Nahangaika hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
222, 223Dstv wanaonesha chanel gan mechi hii? Nahangaika hapa
Itabidi niupgrade hiki kifurushi ili nipate raha222, 223
Naona sasa hivi utakuwa unapita kimya kimyaHawa wachapwe tu ,wameniudhi kutaka kufosi kuvaa vitambaa vya ushoga.
JingaSenegal leo tunaitaji draw tu atuna mambo mengi point zilizobaki tunachukua kwa qatar na ecuador
Wako vizuri, basi tutafute droo then yeye apigwe na Uholanzi angalau goli 2, halafu tumshushie kipigo Qatar magoli kama 3+Mmmh!! Kwa Ecuador nina mashaka.
Imeniuma sana, wamecheza ball nzuri ila mwisho wa siku wakafungwaDaah Senegal ndio bye bye ngoja tuwaangalie Ghana
Wachambuzi kutoka kibaigwa pumbavuMkoloni anafungika vizuri tu
Iran wakitaka kupata matokeo awe compact nyuma na katikati
Mkoloni hana wachezaji wa kufungua timu unayosimulia basi
Hutegemea zaidi kona na dead balls kwenye timu za aina hii
[emoji1][emoji1][emoji1]Si ulimuona Queiroz mataifa Africa na Egpty, anapaki basi hatari, hii mechi imeandikwa 0-0 ama 1-0 sio mechi ya magoli mengi.
Mkuu acha kutoa vitisho [emoji23].Team Argentina nawacheki tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili kombe atayechukua hamtaamini.
🚮Nilijua tu Senegal watatoka na gundu
Wamejaza michezaji imetoka na gundu kwenye club zao🤣
Si tumebaki tumetulia tunajua mtu yupo, kumbe ni shuka tu ye alishasepa kitamboMasai kutembea uchi Wala hajali 😂😂😂
Haizuii ukweli kuwa limendy ni takataka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]