100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Imagine!! Na Congolese walivyo walozi vile...Zaire ilifungwa 9-0 na Yugoslavia World cup ya mwaka 1974 German,
Mobutu alipeleka Ndege iliyojaa wachawi Ujerumani ila wakala kichapo kama cha kibaka wa simu Kariakoo.
Kwenye soka hakuna linaloshindikana,hata kwa Portugal kuna wenzako walisema hivyo hivyo,kwa Spain walisema hivyo hivyo pia.We unaona kabisa Morocco ni ya kuifunga Ufaransa..
[emoji16]Umeona ss Saint unaleta usimba na yanga hapa kwa watu wenye akili acha mkuu nakuheshimu sana
Na wote tuseme aminaFinal
France v Croatia
Winner: France.
Kesho mechi ni dk 90 mkuuKwenye soka hakuna linaloshindikana,hata kwa Portugal kuna wenzako walisema hivyo hivyo,kwa Spain walisema hivyo hivyo pia.
Samahani ndugu, mpira umeanza kufatilia lini?Sawa kipa sio huyu, wachezaji ni wapya except Messi
Umerejea[emoji23]HII GAME YA LEO UNATAKIWA UANGALIE UKIWA NA PISI PEMBEN [emoji39][emoji39][emoji39]
Rated na underrated vyote hivi hutegemea na jinsi una mashabiki wangapi wanao kusapoti
Messi kwenye michuano hii anaruka ruka tu sijaona chochote alichokifanya kuonesha uhodari wake.
Croatia sio timu iliyofika nusu kwa bahati, Argentina na Morrocco ndio sielewi elewi zimefikaje hapa
Ngoja tuone muda uamue
Messi kwenye michuano hii anaruka ruka tu sijaona chochote alichokifanya kuonesha uhodari wake.
Ngoja tuone muda uamue
Leo pagumu sana Auntie...
Huyo ana chuki zake binafsi tu zinamsumbua saivi anatapatapa tu haoni pa kujifichaKuna muda huwa unanifanya nijiulize kwamba hizi comments zako ni matokeo ya chuki zako tu kifuani au umeamua kuchangamsha genge tu servers za JF zijae.
Kwenye hili kombe la dunia linaloendelea ...
Messi ana magoli manne (Argentina nzima ina magoli tisa so amechangia karibia nusu ya magoli ya timu nzima)
Messi ana xG (Expected goals) ya 3.79 na xA (Expected assists) ya 1.21 per match.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa shots on target, 22 kwa idadi.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli (chances created), akiwa ametengeneza chances 16 mpaka sasa.
Chances za magoli zinazotengenezwa na Messi per game ni 2.8. Hamna mchezaji mwenye rekodi hiyo mpaka sasa.
Definition yako ya mchezaji 'kurukaruka' ni ipi? Ebu tupatie your reasoning.
De Paulo
Ebhanaeeee kitu whole milk πππMnamwona huyu mwanamke
View attachment 2445345
Huyu ndiye muke ya HAKIMI masikini ajiandae kumbembeleza mumewe hapo kesho.