Kuna muda huwa unanifanya nijiulize kwamba hizi comments zako ni matokeo ya chuki zako tu kifuani au umeamua kuchangamsha genge tu servers za JF zijae.
Kwenye hili kombe la dunia linaloendelea ...
Messi ana magoli manne (Argentina nzima ina magoli tisa so amechangia karibia nusu ya magoli ya timu nzima)
Messi ana xG (Expected goals) ya 3.79 na xA (Expected assists) ya 1.21 per match.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa shots on target, 22 kwa idadi.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli (chances created), akiwa ametengeneza chances 16 mpaka sasa.
Chances za magoli zinazotengenezwa na Messi per game ni 2.8. Hamna mchezaji mwenye rekodi hiyo mpaka sasa.
Definition yako ya mchezaji 'kurukaruka' ni ipi? Ebu tupatie your reasoning.