Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa mwenyewe anaskiza.Hivi messi mbona anawazoea sana marefa ! Anaongeaga nao nini sijui kwanini asilimwe kadi?
Hili jambo linanikera sana.
Kadata.Perisic anapiga krosi mwenyewe inaenda nje...afu ndio waingie fainali hawa??
Maendeleo hayana chama - John Pombe MagufuliHadi gaucho anashangilia argentina
Haya wamesameheSasa hapo faulo iko wapi wakati Mesi ndio aliyechomeka mguu kati kati ya miguu ya mpinzani?
Lee Isije kuwa unaota 😆😆😆😆Zinarudii
Huyu refa kaharibu mechi
Penalty ya mchongo
We Kwa fainali ya kupelekwa na FIFA hiyo unajiona umepambana kweliPerisic anapiga krosi mwenyewe inaenda nje...afu ndio waingie fainali hawa??
Acha kukaza fuvu, kama walipewa penalty nnje ya eneo dhidi ya Netherland ulitegemea wasipewe penalty ya mchongo kama hii ya leo[emoji848][emoji57]Ile ni penalty asee
Na uende kweny hyo mechi acha uogaSisi mashabiki wa Morocco tunasema tangulieni tunakuja.
Refa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipaSasa hapo faulo iko wapi wakati Mesi ndio aliyechomeka mguu kati kati ya miguu ya mpinzani?
Ushapata preshaaaaa😁😁😁🙆🙆🙆🙆Nipo aisee. 😁
Ila sidhani kama nitamaliza hii mechi maana nishaanza kusinzia, huku niliko ni saa saba kasoro.
Kunywa novida mkuuAcha kukaza fuvu, kama walipewa penalty nnje ya eneo dhidi ya Netherland ulitegemea wasipewe penalty ya mchongo kama hii ya leo[emoji848][emoji57]
Haya wamebebwa tena huko