Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

We Kwa fainali ya kupelekwa na FIFA hiyo unajiona umepambana kweli
8CE824E8-AE9C-4090-943D-2D756967987D.jpeg
 
Mkuu ile haikua rafu

Alvarez alishapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa

Ila ndo hivo penalty za mchongo siku hizi ziko nyingi sana
utakuwa unaangalia mpira wa TBC wewe kipa angetuliza mironjo uone kama asingepigwa goli kiherehere kimemponza zaidi
 
Back
Top Bottom