Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ukinywa wewe inatosha sana [emoji38]Kunywa novida mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinywa wewe inatosha sana [emoji38]Kunywa novida mkuu
Unadhani hawaoni. Maumivu yamepanda kichwani maana ramli walizipiga mno, ajabu mambo hayaendi vile wanavyodhani.utakuwa unaangalia mpira wa TBC wewe kipa angetuliza mironjo uone kama asingepigwa goli kiherehere kimemponza zaidi
HeheTaratibu bhasiii
🤣🤣🤣🤣🤣Ukinywa wewe inatosha sana [emoji38]
Kwani mpira wa TBC na mwengine si huo huo mkuu.utakuwa unaangalia mpira wa TBC wewe kipa angetuliza mironjo uone kama asingepigwa goli kiherehere kimemponza zaidi
Sio wanataka, washaiharibu. Wameuhanithi usiku.Naona Croatia wanataka kukuharibia usiku wako
Kuongoza sio kesi.Any updates???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikwambia utalala 4:45Watu wetu wa vamoooss!!!
Tutakuepo hapa majira ya saa 6 usiku kuwapa faraja
kesi kushneiiiiKwani mpira wa TBC na mwengine si huo huo mkuu.
Penda chako basi
Penalty kama hizo tushazizoea tunaziona EPL kila weekend
Hapa tunakomenti tu mkuu
Huu mchezo hahuitaji hasira
Sio vita muraa
Uchezaji kwenye ligi na kombe ni tofautiNimegundua wachezaji wengi wanacheza kwa juhudi sana kwenye kombe la Dunia tofauti na kwenye vilabu.
Maguire aliyedhihakiwa hadi kutishiwa maishana akapewa mapumziko maalum ila kwenye WC alikiwasha sana, imagine.
Juzi Ziyech alikuwa anacheza hadi beki, anakaba na kushambulia
DaaaaahHatunywi sumu hatujinyongi
Thubutuuuuuuu!! Wamekaza Sio kidogo aseee!Zinarudiii
Huwezi kuwa bora halafu ufungwe na Saudi Arabia.Argentina ilikuwa mbovu kipindi kile sio leo😀😀😀😀😀
Kwahyo tufanye ni moja bila? Au na hilo la pili una malalamiko nalo?Refa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa
Hata watangazaji wanalisema hilo
Ila kwa unafiki wao wanapotezea
Awa mbuzi subir tuchezao final na France warudi kwao wanatoa michozi France hatuwezi fungwa na timu dhaifu kama hiiKiufupi wanalazimisha andunje achukue ubingwa.
Ila sisi kama Morocco tunasema hapana.
Mmmmmmh unaweza kutuwekea marudio ya hiyo clip.Acha kukaza fuvu, kama walipewa penalty nnje ya eneo dhidi ya Netherland ulitegemea wasipewe penalty ya mchongo kama hii ya leo[emoji848][emoji57]