Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nimegundua wachezaji wengi wanacheza kwa juhudi sana kwenye kombe la Dunia tofauti na kwenye vilabu.

Maguire aliyedhihakiwa hadi kutishiwa maishana akapewa mapumziko maalum ila kwenye WC alikiwasha sana, imagine.

Juzi Ziyech alikuwa anacheza hadi beki, anakaba na kushambulia
Uchezaji kwenye ligi na kombe ni tofauti
Kama WC mpaka final ni mechi kama sita tu kwahio watu wanakaza
 
Kila siku nawaambia, usilete wavulana kwenye shughuli ya wanaume. Huyu Croatia ndio alimnyanyasa kipenzi chenu Brazil? Sasa tulieni muone wanaume wanavyodeal na vijana watukutu kama hawa!

Na wale mliokua mnasema Croatia atatutoa, anzeni mapema kutafuta team nyingine ya kushabikia. Na huko mnakoenda, mue na uhakika wa kufuzu. Sisi mtatukuta hapa fainali tunawasubiri!

Messi anatuwahisha kwa speed ya bodaboda!
717145098.jpg
 
Back
Top Bottom