Wanaenda kuongea vyumbani sema Argentina wamenikosha counter attack, Croatia hawakuwa na majibu yoyoìThubutuuuuuuu!! Wamekaza Sio kidogo aseee!
Wanarudishaa mkuuuSio wanataka, washaiharibu. Wameuhanithi usiku.
Akikataa Fanya kuinipasia nipoze koo nakupunguza ushunguuu mieee khali ishakua teteeee😁😁Ukinywa wewe inatosha sana [emoji38]
na huwezi kuwa bora kwa kutolewa na Croatia huku wachezaji wazuri unaoHuwezi kuwa bora halafu ufungwe na Saudi Arabia.
Leta hiyo timu yako unayoiamini. Mwombe na Ronaldo aje awasaidie.Awa mbuzi subir tuchezao final na France warudi kwao wanatoa michozi France hatuwezi fungwa na timu dhaifu kama hii
Usilale tu rafikiSio kwa dalili zile za Argentina [emoji119][emoji119][emoji119]
Makasiriko yanini jaman si utulie leo mtapigwa 5 😅😅😅😅Huwezi kuwa bora halafu ufungwe na Saudi Arabia.
Wana force Messi achukue kombeRefa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa
Hata watangazaji wanalisema hilo
Ila kwa unafiki wao wanapotezea
Hawa Argentina wanazuia vizuri sanaKiufupi wanalazimisha andunje achukue ubingwa.
Ila sisi kama Morocco tunasema hapana.
Noo, zinarudi japo mpira lolote linaweza kutokeaSijapoa hata!! Hadi turudisheee japo naona kabisaaa hatariii hiooo
Umekumbushwa tu wala sio makasiriko. Na hii mechi Andunje ataliaMakasiriko yanini jaman si utulie leo mtapigwa 5 😅😅😅😅
watu msiofahamu mpira muwe mnashangilia hata taarabu ile popote uwanjani ni foul si kwenye box tu popote.Refa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa
Hata watangazaji wanalisema hilo
Ila kwa unafiki wao wanapotezea
Awapii Coratia hawarudishiii waandae virago tu!!Wanaenda kuongea vyumbani sema Argentina wamenikosha counter attack, Croatia hawakuwa na majibu yoyoì
Wanarudishaa mkuuu