Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kiufupi wanalazimisha andunje achukue ubingwa.
Ila sisi kama Morocco tunasema hapana.
Hawa Argentina wanazuia vizuri sana

Weakness yao iko kwenye crosses ndo maana Uholanzi walivoanza kupiga croses walipata chochote kitu

Ukicheza nao mpira wa chini hautoboi

Andunje ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa toka kombe linaanza mapundit wengi wanaipa ubingwa argentina

Maybe wakikutana na Ufaransa watapata changamoto kidogo

Mi nadhani hawa Argentina inabidi uchezee mpira kwel kwel ukisema upaki basi unaumia

Australia Uholanzi Mexico Poland wote walijaribu ila waliambulia patupu

Hapo ni kumimina cross tu mpaka kieleweke
 
Refa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa

Hata watangazaji wanalisema hilo

Ila kwa unafiki wao wanapotezea
watu msiofahamu mpira muwe mnashangilia hata taarabu ile popote uwanjani ni foul si kwenye box tu popote.
 
Back
Top Bottom