Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
InaezekanaWana force Messi achukue kombe
Kweli Messi anapendwa [emoji23][emoji23]
Dr Licky anajua kuliko waliopo QatarPenalty hadi Dr Licky kaikataa...kweli Argentina ni mbeleko FC [emoji16]
La Pulga lazima aweke rekodi ya kunyanyua ndoo mwaka huu...Wana force Messi achukue kombe
Kweli Messi anapendwa [emoji23][emoji23]
Game onAwapii Coratia hawarudishiii waandae virago tu!!
Anyway ngoja tuone
watu msiofahamu mpira muwe mnashangilia hata taarabu ile popote uwanjani ni foul si kwenye box tu popote.
Mna roho ngumu 2:0 ftNoo, zinarudi japo mpira lolote linaweza kutokea
Sio Dr lick tu Ata kichaa wa mirembe awezi funika penati kama IlePenalty hadi Dr Licky kaikataa...kweli Argentina ni mbeleko FC [emoji16]
Huyu mzee kwanini anaitwa dokta?Penalty hadi Dr Licky kaikataa...kweli Argentina ni mbeleko FC [emoji16]
Nyie mashabiki lia lia wa ronaldo hapa ndio huwa mnaharibu mpira.Kiufupi wanalazimisha andunje achukue ubingwa.
Ila sisi kama Morocco tunasema hapana.
Watapigwa tena counter hawa wamaliziwe bao la tatuHawa Argentina wanazuia vizuri sana
Weakness yao iko kwenye crosses ndo maana Uholanzi walivoanza kupiga croses walipata chochote kitu
Ukicheza nao mpira wa chini hautoboi
Andunje ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa toka kombe linaanza mapundit wengi wanaipa ubingwa argentina
Maybe wakikutana na Ufaransa watapata changamoto kidogo
Mi nadhani hawa Argentina inabidi uchezee mpira kwel kwel ukisema upaki basi unaumia
Australia Uholanzi Mexico Poland wote walijaribu ila waliambulia patupu
Hapo ni kumimina cross tu mpaka kieleweke
La pili goli zuri sana...unaombea nalo mkopo benkiKwahyo tufanye ni moja bila? Au na hilo la pili una malalamiko nalo?
Usiwe na wasi wasi broMna roho ngumu 2:0 ft
Kwa penati zile sasa naanzaje kupoteza muda kuangalia bonanza?Kalale tuuu na ukomeee kuisema Argentina maana siku zote wqnaku prove wrong