Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

watu msiofahamu mpira muwe mnashangilia hata taarabu ile popote uwanjani ni foul si kwenye box tu popote.
images - 2022-12-10T232622.063.jpeg
 
FIFA wamepanga Argentina awe bingwa ili kumfavour Messi.

Goli la kwanza halikuwa penati maana mchezaji wa Argentina alishaupiga mpira ndio kagongana na kipa na mpira walishau win mabeki wa Croatia so hapo walibebwa tuu Hakuna penati.
 
Hawa Argentina wanazuia vizuri sana

Weakness yao iko kwenye crosses ndo maana Uholanzi walivoanza kupiga croses walipata chochote kitu

Ukicheza nao mpira wa chini hautoboi

Andunje ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa toka kombe linaanza mapundit wengi wanaipa ubingwa argentina

Maybe wakikutana na Ufaransa watapata changamoto kidogo

Mi nadhani hawa Argentina inabidi uchezee mpira kwel kwel ukisema upaki basi unaumia

Australia Uholanzi Mexico Poland wote walijaribu ila waliambulia patupu

Hapo ni kumimina cross tu mpaka kieleweke
Watapigwa tena counter hawa wamaliziwe bao la tatu
 
Back
Top Bottom