Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu mbwa ni nyokoGoli la 3 la Argentina.
Hapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga ArgentinaYah ni kweli mkuu unavosema
Ila naona Croatia wamefloat huku
Maji yapo shingoni
wanaeza pigwa nne leo!
Goli la 3 la Argentina.
Uyo ni Fundi wa mpiraTwende mbele turudi nyuma Messi anajua nyie [emoji119]
Kijana utakufa bure, Messi ni unstoppable.Hizi kelele zina muda tu
Saa mbovu kuna muda inakuwa sahihi.Hvi wale Saudi Arabia kilitokea nn cku ile?
Pamoja na kipaji kikubwa alichobarikiwa ila jamaa anajituma sana uwanjani.Duh huyu jamaa miaka 36 utafikiri miaka 17 anavyotembea
Varane ndiye atamzuia messi? Mh !!! 😀😀😀😀😀😀😀France
Bora wewe umetubuuTwende mbele turudi nyuma Messi anajua nyie [emoji119]
So far he is the best... May be kuna mwingine atatokea...Mjadala ufungwe Messi ndiye mchezaji Bora wa dunia kwa miaka 2022 After Crist 🙏🙏🙏🙏🙏
Mkuu mtu ana Ballon d'Or 7 bado hamuamini ndiye bora?Argentina hata wasipobeba kombe, wameupiga mwingi na Messi kaonyesha yeye ni mwamba wa soka wa kizazi hiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] No way mkuu Komaa tu mpaka mpira uisheeee[emoji16]!Usiku mwema
Varane ndiye atamzuia messi? Mh !!! 😀😀😀😀😀😀😀