Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kante atamisika sana.Messi tutampiga kipapai cha kuharisha.Varane ndiye atamzuia messi? Mh !!! πππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kante atamisika sana.Messi tutampiga kipapai cha kuharisha.Varane ndiye atamzuia messi? Mh !!! πππππππ
Iyo ilishatabiriwa kabla ya michuano kuanzaSasa ninaona kama kombe linaelekea Argentina.
Kama ile ya juzi kwq Netherlands π€£π€£π€£Hivi ikatokea wakirudisha zote na kuongeza moja itakuwaje
HaitawezekanaKama ile ya juzi kwq Netherlands π€£π€£π€£
Umeona eeeehhh!!Finali hii ni Bara la Ulaya vs Bara la Amerika ya Kusini
Duh kwa jinsi waingereza walivoipeleka France sidhani kama wana ubora huoHapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga Argentina
Team Pessi wanasumbua sana, haya yote kayataka Croatia
Mechi imeisha hii....Croatia kisaikolojia wamekufa kabisa.
Na Romero pia hawachezi.Oya hivi ile kadi ya otamendi si itamfanya akose final au?
Kalale tu mrembo ππππTatu bilaaaaa khaa hatari nanusu hiiiππππππ
Tatizo hilo sasaNa Romero pia hawachezi.
No way nishakubalii matokeo halali mtyuuuuuu ππππ!!Mna maana gani kusema FIFA wanataka Messi achukue
Kalale tu mrembo ππππ