Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yah ni kweli mkuu unavosema

Ila naona Croatia wamefloat huku

Maji yapo shingoni

wanaeza pigwa nne leo!
Hapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga Argentina

Team Pessi wanasumbua sana, haya yote kayataka Croatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…