Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Me leo shabiki mtazamaji yaani Makiwendo Kalpana pande zipi nyie eti
Beshte umeme jana walitukomoa ulikatika asubui mapemaa simu haikua na moto umerudi saa moja...ila game niliangalia mpk mwisho..toka awali mm nilisema Team yangu ikitoka nahamia Argentina nina mahaba na Messi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Leo pagumu sana Auntie...
Huku Messi huku Modric...Yawaaa!!!
Zote team zangu...Uwiiiiiiii...

Leo ni Mungu ataamua...Na anitie nguvu kwenye matokeo.
Naona hali si mbaya wote ni wapenzi...Modric acha akapumzike anenepe nenepe kidogo
 
Nasema hiiviii Viva Argentina....mmemtoa mtesi wetu kwa mpira mzuuriii
Messi ile Assist ya bao la 3 lool kweli ni great
DOgo Julio akiendelea hivyo atampita Halland
Huna baya.. Tumewasaidia ndg ze2 nyie mfupa uliowashinda.

J2 mtuombee mema kombe turud nalo South America.

Vamoooooooooos [emoji1033]
 
Niliaga mbona 😊😊😊

Leo twende wa waafrika wetu weusi au weupe?
Leo tuwe 50/50 Morocco kwa uzalendo. Kwa France unisaidie nimebet na mtu, mkwanja mrefu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† niliingiza timu 4, 2 zimeaga tayari.
Zimebaki Argentina na France, sasa France akishinda leo napokea kabisa, sababu lazima mmoja abebe.
Baada ya hayo tuwe France or Morocco?
 
Wait n see, pia jifunze kuweka akiba ya maneno
Mkuu hiyo ni tahadhari tu wala sijajikweza kukuhakikishia France anashinda. Morocco kuwa na mtihani mkubwa haimaanishi hawezi kutoboa. Hata Law School ilikua ngumu sana lakini wapo waliotoboa. So usini quote vibaya na ofcourse hata mimi nitafurahi Morocco akishinda.

Na kwa taarifa mechi ya leo nitaangalia bila kisonono namtakia yoyote ashinde najua bingwa wa kombe la dunia yupo atakayepita leo J5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu twende na France πŸ‡«πŸ‡· hakuna namna
 

Watu wanatafuta kila sababu ile ya jana ni penalty halali kwasababu kipa hakuucheza mpira alimvaa mchezaji. Ingekua kipa ndo alikua wa kwanza kuucheza isingekua penalty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…