Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Me leo shabiki mtazamaji yaani Makiwendo Kalpana pande zipi nyie eti
Beshte umeme jana walitukomoa ulikatika asubui mapemaa simu haikua na moto umerudi saa moja...ila game niliangalia mpk mwisho..toka awali mm nilisema Team yangu ikitoka nahamia Argentina nina mahaba na Messi 😀 😀 😀
 
Leo pagumu sana Auntie...
Huku Messi huku Modric...Yawaaa!!!
Zote team zangu...Uwiiiiiiii...

Leo ni Mungu ataamua...Na anitie nguvu kwenye matokeo.
Naona hali si mbaya wote ni wapenzi...Modric acha akapumzike anenepe nenepe kidogo
 
Can't wait[emoji4][emoji108]
Screenshot_20221214-084146.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nasema hiiviii Viva Argentina....mmemtoa mtesi wetu kwa mpira mzuuriii
Messi ile Assist ya bao la 3 lool kweli ni great
DOgo Julio akiendelea hivyo atampita Halland
Huna baya.. Tumewasaidia ndg ze2 nyie mfupa uliowashinda.

J2 mtuombee mema kombe turud nalo South America.

Vamoooooooooos [emoji1033]
 
Niliaga mbona 😊😊😊

Leo twende wa waafrika wetu weusi au weupe?
Leo tuwe 50/50 Morocco kwa uzalendo. Kwa France unisaidie nimebet na mtu, mkwanja mrefu 😆😆😆😆 niliingiza timu 4, 2 zimeaga tayari.
Zimebaki Argentina na France, sasa France akishinda leo napokea kabisa, sababu lazima mmoja abebe.
Baada ya hayo tuwe France or Morocco?
 
Wait n see, pia jifunze kuweka akiba ya maneno
Mkuu hiyo ni tahadhari tu wala sijajikweza kukuhakikishia France anashinda. Morocco kuwa na mtihani mkubwa haimaanishi hawezi kutoboa. Hata Law School ilikua ngumu sana lakini wapo waliotoboa. So usini quote vibaya na ofcourse hata mimi nitafurahi Morocco akishinda.

Na kwa taarifa mechi ya leo nitaangalia bila kisonono namtakia yoyote ashinde najua bingwa wa kombe la dunia yupo atakayepita leo J5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tuwe 50/50 Morocco kwa uzalendo. Kwa France unisaidie nimebet na mtu, mkwanja mrefu 😆😆😆😆 niliingiza timu 4, 2 zimeaga tayari.
Zimebaki Argentina na France, sasa France akishinda leo napokea kabisa, sababu lazima mmoja abebe.
Baada ya hayo tuwe France or Morocco?
Ukweli mchungu twende na France 🇫🇷 hakuna namna
 
Ant Argentina guys wengi wenu hamna hoja but conspiracy, and deep inside you nawewe pia una utimu, udini na itikadi nyingine kama ulivyowahukumia vijana kuwa wanavyo

Nini kilikusababisha uache kufuatilia WC?? Eti sababu Argentina anabebwa???mbona sababu dhaifu/ mfu kabisa???

Ngoja nikutajie team kubwa pengine bila shaka zingemfunga Argentina zilizotoka afu uniambie kuwa zilifanyiwa figisu ili Argentina asikutane nazo

Brazil: alifanyiwa figisu????
Spain: alihujumiwa???
German: alifanyiwa ukiritimba???
Belgium: alifanyiwa njama???
Portugal: alifanyiwa njama???

Hao Argentina wenyewe ni kama tu kisimati tu mungu kaamua hivyo

Alipigwa na saudia akawa anahitaji point sita kwa Mexico na Poland ili afuzu na zile kw a taarifa yako ndio zilikuwa game muhimu kwa Argentina kuliko hata hiyo ya Croatia... Je katika hizo game mbili za Mexico na Poland ambazo zote alishinda goal mbili bila kuna goal penalty (kwasababu nyie tafsir yenu penalty ni kubebwa) tulipata penalty dhidi ya Poland ila tulikosa

Mpira ni mchezo wa wazi wenye waamuz watano katika uwanja plus VAR hivi Argentina angefungwa goal tatu au mbili ya halal wangeyafuta au kuyakataa na dunia inaona???

Mbona game dhidi ya Netherlands ziliongezwa ten minutes hadi tukachomolewa goal ingekuwa yaandaliwa kuwa bingwa na alikuwa keshazidiwa zisingeongezwa hata dakika nane achilia mbali kumi

Mbona hatujaona akifungwa na goal kukataliwa???

Acheni propaganda za ajabu ambazo hazipo kwa sababu timu zenu zimetoka acheni chuki binafsi

Messi mwenyewe ana goal tatu za penalty katika mechi sita na ni za halal lakini zinavyoongelewa utafikiri magoal yote 11 ya Argentina ni penalty

Msiishi kwenye mi conspiracies eti kila kitu mnaamini kuna something behind huo pia ni ugonjwa....ni kweli Wenda watu wengi wanatamani messi ashinde WC lakini sio kuja kusema anaandaliwa, anaandaliwa vipi sasa na akifungwa na team pinzani goal zitafutwa??? Mbona alivyosawazishiwa na Netherlands goal hazikukataliwa??? Na magiant wote waliotoka ambao hawakukutana na Argentina ila walikuwa wanauwezo wa kumfunga na kumtoa pia ni planned???

Hamna hoja mna rukaruka tu



Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Watu wanatafuta kila sababu ile ya jana ni penalty halali kwasababu kipa hakuucheza mpira alimvaa mchezaji. Ingekua kipa ndo alikua wa kwanza kuucheza isingekua penalty.
 
Back
Top Bottom