Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hawa haters uchwara mkuu sio hata wa kuwaelewesha chochote ngj waongee sisi tukiwa tunaukarbia ubingwa..Watu wanatafuta kila sababu ile ya jana ni penalty halali kwasababu kipa hakuucheza mpira alimvaa mchezaji. Ingekua kipa ndo alikua wa kwanza kuucheza isingekua penalty.
[emoji23]Nina amka hapa kwa hisani ya ArgentinaView attachment 2446170
Hawa haters uchwara mkuu sio hata wa kuwaelewesha chochote ngj waongee sisi tukiwa tunaukarbia ubingwa..
Vamoooooooooos [emoji1033]
KabisaaTwende na hela 🤣🤣🤣🤣 poa
Yan Mkuu naangalia marudio hapa asee ni htr modric kapotezwa jana.. Na ndo maana tulianza na 442 naona ili tuwapoteze kati.Haters wanaugulia maumivu kila siku Argentina wana improve jana Modric kafichwa hatari.
Ila mechi ya jana Messi amejua kucheza na kutupa raha shabiki zakeeee hadi haters walisalutee.Yan Mkuu naangalia marudio hapa asee ni htr modric kapotezwa jana.. Na ndo maana tulianza na 442 naona ili tuwapoteze kati.
Asee Mkuu ww hata usiangaike kujibu hoja nyepes za hawa haters uchwara ambao wana makasiriko makubwa sana.. Mm ndo maana huoni hata nikipoteza ngv zng kujibishana na mashabik oya oya.. Waongee sisi tutafanya kwa vitendo tutashinda.. Tumewapa nafas ya kipekee kbs wao wabadilishe team wanavoweza sisi tutapambana nao.
Vamoooooooooos [emoji1033].
Bingwa mtetezi 💪🔥🔥🔥Nyie wafaransa weusi kesho nunueni Leso za kufutia machozi mapema mno..
Tate Mkuu Scars Saint Anne
Victoire
Ujue watu mnajidanganya na kujipa matumaini ya kuishi kama mgonjwa wa cancer stage IV, ipo hivi bila kupepesa macho hata Morocco wanajua hawaendi final, namnukuu Napoleon Bonaparte moja ya majenerali wakubwa zaidi duniani kuwahi kutokea katika historia anasema "God favours the side with the best artillery" hizi ngonjera za kudanganyana eti Morocco ana defense kali mtashangaa leo, defense waitumie kupunguza idadi ya Magoli, wakisema wajiachie washambulie ndio watapigwa vibaya, ukichuchumaa nchale, ukisimama nchale... Mashabiki wa Morocco acheni kutolea reference Portugal, Spain...Mechi imeisha hii....
Tungoje kesho Morocco atakapoweka historia nyingine ya kutinga fainali...
Saint Anne Scars
Tupo pamoja!!Leo nitasapoti ufaransa sina cha uafrika wala nini...ila j2 fainali narudi nyumbani .... Argentina home sweet home
Kabla ulikuwa team gani?Tupo pamoja!!
Walitushinda kwa mbindeee..jana Arg walijicheza kwa tahadhari kubwa sana niliwapendaHuna baya.. Tumewasaidia ndg ze2 nyie mfupa uliowashinda.
J2 mtuombee mema kombe turud nalo South America.
Vamoooooooooos [emoji1033]
Toka mwanzo nilikuwa Senegal, Ufaranza na Argentina. Fainal niko na Messi.Kabla ulikuwa team gani?
Hehehehe duhToka mwanzo nilikuwa Senegal, Ufaranza na Argentina. Fainal niko na Messi.
Morocco wana ulinzi imara, usiwachukulie poa.. japo Ufaransa wana forward kali ila hii ni mechi ngumu kwao.Ujue watu mnajidanganya na kujipa matumaini ya kuishi kama mgonjwa wa cancer stage IV, ipo hivi bila kupepesa macho hata Morocco wanajua hawaendi final, namnukuu Napoleon Bonaparte moja ya majenerali wakubwa zaidi duniani kuwahi kutokea katika historia anasema "God favours the side with the best artillery" hizi ngonjera za kudanganyana eti Morocco ana defense kali mtashangaa leo, defense waitumie kupunguza idadi ya Magoli, wakisema wajiachie washambulie ndio watapigwa vibaya, ukichuchumaa nchale, ukisimama nchale... Mashabiki wa Morocco acheni kutolea reference Portugal, Spain...
Napenda Morroco iwe Bingwa koz inatoka Africa ila kwa KAULI yao yeyote achukue tu mana sina cha kulingia wala kupoteza[emoji854][emoji854]Timu Morocco tujuane kabisaa kabla hapaja pambazuka.
Mamluki hatuwataki.
Kama ulisha shabikia Brazil sijui England, samahani tusameh, hatuhitaji msaada wako.
MOROCCO NDIO BINGWA