Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

One more [emoji238] masterclass and we're making history..#GODSaveThe[emoji238][emoji1488]

Vamos Albiceleste [emoji1033]
Screenshot_20221214_093009.jpg
 
Attachments

  • 20221214_013757.jpg
    20221214_013757.jpg
    218.5 KB · Views: 4
  • Thanks
Reactions: Lee
Haters wanaugulia maumivu kila siku Argentina wana improve jana Modric kafichwa hatari.
Yan Mkuu naangalia marudio hapa asee ni htr modric kapotezwa jana.. Na ndo maana tulianza na 442 naona ili tuwapoteze kati.

Asee Mkuu ww hata usiangaike kujibu hoja nyepes za hawa haters uchwara ambao wana makasiriko makubwa sana.. Mm ndo maana huoni hata nikipoteza ngv zng kujibishana na mashabik oya oya.. Waongee sisi tutafanya kwa vitendo tutashinda.. Tumewapa nafas ya kipekee kbs wao wabadilishe team wanavoweza sisi tutapambana nao.

Vamoooooooooos [emoji1033].
 
Ila mechi ya jana Messi amejua kucheza na kutupa raha shabiki zakeeee hadi haters walisalutee.
Ronaldo kitu gani mbele ya Messi...he is nothing
 
Mechi imeisha hii....

Tungoje kesho Morocco atakapoweka historia nyingine ya kutinga fainali...
Saint Anne Scars
Ujue watu mnajidanganya na kujipa matumaini ya kuishi kama mgonjwa wa cancer stage IV, ipo hivi bila kupepesa macho hata Morocco wanajua hawaendi final, namnukuu Napoleon Bonaparte moja ya majenerali wakubwa zaidi duniani kuwahi kutokea katika historia anasema "God favours the side with the best artillery" hizi ngonjera za kudanganyana eti Morocco ana defense kali mtashangaa leo, defense waitumie kupunguza idadi ya Magoli, wakisema wajiachie washambulie ndio watapigwa vibaya, ukichuchumaa nchale, ukisimama nchale... Mashabiki wa Morocco acheni kutolea reference Portugal, Spain...
 
Morocco wana ulinzi imara, usiwachukulie poa.. japo Ufaransa wana forward kali ila hii ni mechi ngumu kwao.
 
Timu Morocco tujuane kabisaa kabla hapaja pambazuka.
Mamluki hatuwataki.
Kama ulisha shabikia Brazil sijui England, samahani tusameh, hatuhitaji msaada wako.

MOROCCO NDIO BINGWA
Napenda Morroco iwe Bingwa koz inatoka Africa ila kwa KAULI yao yeyote achukue tu mana sina cha kulingia wala kupoteza[emoji854][emoji854]
VIVA TANZANIA WC CHAMP 2028
 
Back
Top Bottom