..ππ...kombe la Messi hili..Na kwa taarifa mechi ya leo nitaangalia bila kisonono namtakia yoyote ashinde najua bingwa wa kombe la dunia yupo atakayepita leo J5
...ungeweka na chanzo cha hii taarifa kabisa....Morocco coach Walid Regragui: "European journalists do not like African teams playing like Europeans. In the past African teams were seen as teams who played for fun but were not effective. Those days are over."We're very ambitious, hungry. Confident and determined to rewrite the history books. We want Africa to be top of the world."... yale maneno ya kuwa morroco wanawakilisha waislamu na waarabu yanakuzwa na media za western ...nasimama na morroco
Huyo ni Kisinda aliyechangamka..ππNiwakati mzuri wa Mbappe kuonesha uwezo.
Mbape ni Ronaldo mpya! Na leo ndiyo ataanza rasmi kuvaa mikoba ya role model wake.
Messi ni mwalimuMost goals:
β 5 - Messi
β 5 - MbappΓ©
Most assists:
β 3 - Messi
β 3 - Kane
β 3 - Fernandes
β 3 - Griezmann
Most shots:
β 27 - Messi
β 22 - MbappΓ©
Most chances created:
β 18 - Messi
β 17 - Griezmann
Karibu nyumbani kumenoga...Toka mwanzo nilikuwa Senegal, Ufaranza na Argentina. Fainal niko na Messi.
Kama unataka Argentina ashinde inabidi Leo usapoti Morocco...Leo nitasapoti ufaransa sina cha uafrika wala nini...ila j2 fainali narudi nyumbani .... Argentina home sweet home
Itanibidi niwe mnafikiKama unataka Argentina ashinde inabidi Leo usapoti Morocco...
Ufaransa akipita anaweza funga Argentina
[emoji7][emoji7]Argentina hatoboi kwa Croatia
Ova
Yan ukiongea ivo haters wanakuangalia kwa jicho baya sana[emoji23].. Wamebakisha team moja ya kuhamia ya matumaini yao ya mwsh kwny final.. Asee wakishindwa na iyo sidhan kuna watu utawaona humu tena.Ila mechi ya jana Messi amejua kucheza na kutupa raha shabiki zakeeee hadi haters walisalutee.
Ronaldo kitu gani mbele ya Messi...he is nothing
Hilo neno mbichii na nikatazama avatar yako limenitoa kwenye soka..ππItanibidi niwe mnafiki
Ila nakwambia Argentina kombe anabebaa
Kiwango walichoonyesha jana kimeaminisha dunia.
Yani Messi amerudi mbichiiiiii
Hakika na ndo ki2 Brazil sik ile walishindwa.. Kwnz walikubal kucheza mpr Croatia wanaotak na hapo ndo matatz yote yalianzia hapo.Walitushinda kwa mbindeee..jana Arg walijicheza kwa tahadhari kubwa sana niliwapenda
Hujaweka na most penalties goal ingekuwa vizuriMost goals:
β 5 - Messi
β 5 - MbappΓ©
Most assists:
β 3 - Messi
β 3 - Kane
β 3 - Fernandes
β 3 - Griezmann
Most shots:
β 27 - Messi
β 22 - MbappΓ©
Most chances created:
β 18 - Messi
β 17 - Griezmann
Hlf anatoka mtu alikotoka huko kashiba makande anaongea upuuz na anabishana kbs na kukaza mishipa.. Mtu huyu ww ukibishana nae ndo utaonekana mwehu.Most goals:
β 5 - Messi
β 5 - MbappΓ©
Most assists:
β 3 - Messi
β 3 - Kane
β 3 - Fernandes
β 3 - Griezmann
Most shots:
β 27 - Messi
β 22 - MbappΓ©
Most chances created:
β 18 - Messi
β 17 - Griezmann