Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Morocco coach Walid Regragui: "European journalists do not like African teams playing like Europeans. In the past African teams were seen as teams who played for fun but were not effective. Those days are over."We're very ambitious, hungry. Confident and determined to rewrite the history books. We want Africa to be top of the world."... yale maneno ya kuwa morroco wanawakilisha waislamu na waarabu yanakuzwa na media za western ...nasimama na morroco
...ungeweka na chanzo cha hii taarifa kabisa....
 
Most goals:
â—‰ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé

Most assists:
â—‰ 3 - Messi
â—Ž 3 - Kane
â—Ž 3 - Fernandes
â—Ž 3 - Griezmann

Most shots:
â—‰ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé

Most chances created:
â—‰ 18 - Messi
â—Ž 17 - Griezmann
 
493D7E04-2673-4E93-9581-69A4309CBD17.jpeg
 
Ila mechi ya jana Messi amejua kucheza na kutupa raha shabiki zakeeee hadi haters walisalutee.
Ronaldo kitu gani mbele ya Messi...he is nothing
Yan ukiongea ivo haters wanakuangalia kwa jicho baya sana[emoji23].. Wamebakisha team moja ya kuhamia ya matumaini yao ya mwsh kwny final.. Asee wakishindwa na iyo sidhan kuna watu utawaona humu tena.

Anyway mwana Argentina mwenzangu mwendo ni ule ule hatujib hoja nyepes za wachambuz uchwara tutapambana mpk tubebe ndoo.

Vamoooooooooos Albiceleste [emoji1033]
 
Itanibidi niwe mnafiki
Ila nakwambia Argentina kombe anabebaa
Kiwango walichoonyesha jana kimeaminisha dunia.
Yani Messi amerudi mbichiiiiii
Hilo neno mbichii na nikatazama avatar yako limenitoa kwenye soka..😎😎
 
Most goals:
â—‰ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé

Most assists:
â—‰ 3 - Messi
â—Ž 3 - Kane
â—Ž 3 - Fernandes
â—Ž 3 - Griezmann

Most shots:
â—‰ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé

Most chances created:
â—‰ 18 - Messi
â—Ž 17 - Griezmann
Hujaweka na most penalties goal ingekuwa vizuri
 
Most goals:
â—‰ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé

Most assists:
â—‰ 3 - Messi
â—Ž 3 - Kane
â—Ž 3 - Fernandes
â—Ž 3 - Griezmann

Most shots:
â—‰ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé

Most chances created:
â—‰ 18 - Messi
â—Ž 17 - Griezmann
Hlf anatoka mtu alikotoka huko kashiba makande anaongea upuuz na anabishana kbs na kukaza mishipa.. Mtu huyu ww ukibishana nae ndo utaonekana mwehu.

Mtu yupo kwny kila stats ana perform hlf mtu analeta stry za vijiweni kwny kahawa kwl.

[emoji238][emoji1033]
 
Back
Top Bottom