Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mchezaji alikua Crystal palace huko Ata kina mbwana wamecheza huko unasema mchezaji huyo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu bado watu wa Ronaldo wanasema Messi anabebwa.πŸ˜‚
 
Hello Hello wakuu!!!
Kama ilivyo ratiba, leo trh 14-12-2022 tutashuhudia Β½ fainali ya pili ya kikombe cha dunia.

Uzuri ni kuwa, mmoja tu kati yao lazima apenye kuelekea fainali. Iwe mvua au jua, baridi au joto, usiku au mchana, giza au mwanga mshindi ni lazima apatikane.

Kama ambavo nimekuwa nikisema, mwenye uwezo kumzidi mpinzani mwenzie ndiyo atakaepita, haijalishi ni ndani ya dk 90 au 120 kwa mikwaju ya penati au vinginevyo.

Ngoma "inogile" wazeia.... Karibuni nyote wala hamtakiwi kuwa na presha wala wasiwasi, tuinjoi mpira mzuri...

#World cup 2022.... Qatar...... Usikose 4.00 usku karibu na luninga yako au kibandani maana huko ndiyo unainjoi zaidi kuliko ukicheki peke yako...
 
Tunamtaka mzunguuu
Tunamtaka bebi mbapeeee
 
Mashabiki wa Messi tunajikuta na sie vitoto vya 🐐
 
Kila mechi penalty jaman MALIPO ni hapa hapa Morocco nawapenda Ila France shinda Leo ukanipigie ile umbwaaa mapunye kirikuu [emoji856][emoji856][emoji856]
 
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa katika Kombe la Dunia 2022 kimekumbwa na ugonjwa siku moja kabla ya mechi yao muhimu ya Nusu Fainali dhidi ya Morocco.

Ugonjwa huo unaokuja na homa na kuumwa koo umeanza kusambaa kati ya wachezaji wa timu hiyo na kuleta wasiwasi mkubwa.

Dayot Upamecano alianza kujisikia vibaya, hivyo Jumatatu hakuweza kufika mazoezini. Kufikia Jumanne, Upamecano na Adrien Rabiot walikosa mazoezi sababu ya kuugua. Hali hii imelazimu kufanyika kwa maandalizi ya mabadiliko kwenye dakika za mwisho.

Hivi sasa, Ibrahima Konate na Youssef Fofana wako wameandaliwa ikiwa Dayot na Adrien watashindwa kucheza.

Tetesi zinasema kuwa Karim Benzema ambaye amekuwa majeruhi na kushindwa kucheza hata mechi moja ya Kombe hili la Dunia,sasa yupo fit na ameshaanza mazoezi tangu Jumamosi, hivyo atakuwa tayari kujumuika na kikosi ikiwa atahitajika.
 
Hizi taarifa za kitenge hizi mhhh?? Sisi tunamsubiri Fabrizio Romano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…