Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mamadou Sakho, ameshindwa kugawa mapenzi yake ya kwenye mechi ya Ufaransa Vs Maroc,huyu ameshawahi kuiwakilisha Ufaransa kwenye World Cup ya 2014 kule Brazil, sasa hapa kuna Wmatumbi anakuja kusema eti kisa hajapewa dedication ya ushindi wa Moroco wametajwa waislam na waarab eti wanalalamika.

View attachment 2446334
View attachment 2446334
Mchezaji alikua Crystal palace huko Ata kina mbwana wamecheza huko unasema mchezaji huyo
 
Sababu ya pili, ni kwaajili ya haters wa Argentina. Ufaransa ndio kichaka chao cha mwisho kilichobakia. Walijifcha kwa Australia tukawakurupusha. Wakakimbilia kwa uholanzi, tukawatimua. Wakaingia kichaka cha Croatia, tukakitia moto. Sasa wamekimbilia France. Inabidi wafuzu hao France ili tumalizie kazi yetu.
😀😀😀
 
Hello Hello wakuu!!!
Kama ilivyo ratiba, leo trh 14-12-2022 tutashuhudia ½ fainali ya pili ya kikombe cha dunia.

Uzuri ni kuwa, mmoja tu kati yao lazima apenye kuelekea fainali. Iwe mvua au jua, baridi au joto, usiku au mchana, giza au mwanga mshindi ni lazima apatikane.

Kama ambavo nimekuwa nikisema, mwenye uwezo kumzidi mpinzani mwenzie ndiyo atakaepita, haijalishi ni ndani ya dk 90 au 120 kwa mikwaju ya penati au vinginevyo.

Ngoma "inogile" wazeia.... Karibuni nyote wala hamtakiwi kuwa na presha wala wasiwasi, tuinjoi mpira mzuri...

#World cup 2022.... Qatar...... Usikose 4.00 usku karibu na luninga yako au kibandani maana huko ndiyo unainjoi zaidi kuliko ukicheki peke yako...
 
Nawaombea France wapite leo dhidi ya Morocco kwa sababu kuu mbili:

- Morocco wanacheza mpira wa kihuni unaofanana na wa Argentina. Morali yao ni kubwa sana, tukikutana fainali itakua mechi ngumu zaidi. Ufaransa wanacheza soft ball, na tayari kwa Argentina hii soft ball imeprove failure.

Morocco wancheza sana aerial balls, na wako na average height kubwa kuwazidi Argentina. Hilo linaweza kua tatizo kwa Albiceleste. Ila wafaransa wanategemea zaidi mbio, kitu ambacho sioni kikiwasaidia kwa Argentina. Unakimbia vipi na mpira wakati kila baada ya hatua tatu, wahuni wanatandika reli?

- Sababu ya pili, ni kwaajili ya haters wa Argentina. Ufaransa ndio kichaka chao cha mwisho kilichobakia. Walijifcha kwa Australia tukawakurupusha. Wakakimbilia kwa uholanzi, tukawatimua. Wakaingia kichaka cha Croatia, tukakitia moto. Sasa wamekimbilia France. Inabidi wafuzu hao France ili tumalizie kazi yetu.

Wakifuzu Morocco alafu tukawapiga, hawa wapuuzi wa humu watasema Morocco ni wadhaifu. Acha aje huyo mbabe wao ili wakose kisingizio!

NB: kama hautaki Argentina wafunge magoli ya penati, waambie wachezaji wa team lako wacheze kwa adabu na akili. Wakitumia miguvu bila akili, sisi tutapiga tu hizo penati hata tukipewa saba kwenye mechi moja.

Na kama unadhani kufunga kwa penati ni rahisi, muulize Mbappe kilichomkuta kwenye Euros. Waulize mabishoo wako wa Brazil, na umuulize Harry Kane!
Tunamtaka mzunguuu
Tunamtaka bebi mbapeeee
 
Takwimu gani ulizoleta wew za kijinga hizo Yani mtu Kwa season 2022/2023 hajafika Goli 24 unakuja kumsifiasifia Messi alikua anauwezo wa kufunga 90 + Kwa mwaka mzima tena akiwa na penati chache sana wew unakuja kuleta madudu Yako apo eti amepeform kitu Gani alichoperform Messi uwezo wa kufunga,kuasist,kupiga faulo,speed umepungua sana Ata uwo uwezo wakupiga penati Messi alikua anauwezo wakupiga penati hata 10 mfululizo Bira kukosa ila kweny penati Tano Kuna uwezekano moja akakosa mwaka huu tayari kashakosa penati mbili hadi Sasa alikosa penati kweny mechi ya PSG na Real Madrid akikosa penati kweny mechi na Poland juzi apo msimu uliopita akiwa na PSG alikua na jumla ya Goli 12 Kwa msimu mzima akiwa PSG unakuja kumjaza apa ivi mtu kutoka kufunga Goli 50 kweny ligi Kwa msimu had kuja kufunga Goli 11 Kwa msimu kweny ligi ni kuperform huko mashabiki wa Messi sjui Huwa mnajikuta kinani Vile
Mashabiki wa Messi tunajikuta na sie vitoto vya 🐐
 
Kila mechi penalty jaman MALIPO ni hapa hapa Morocco nawapenda Ila France shinda Leo ukanipigie ile umbwaaa mapunye kirikuu [emoji856][emoji856][emoji856]
 
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa katika Kombe la Dunia 2022 kimekumbwa na ugonjwa siku moja kabla ya mechi yao muhimu ya Nusu Fainali dhidi ya Morocco.

Ugonjwa huo unaokuja na homa na kuumwa koo umeanza kusambaa kati ya wachezaji wa timu hiyo na kuleta wasiwasi mkubwa.

Dayot Upamecano alianza kujisikia vibaya, hivyo Jumatatu hakuweza kufika mazoezini. Kufikia Jumanne, Upamecano na Adrien Rabiot walikosa mazoezi sababu ya kuugua. Hali hii imelazimu kufanyika kwa maandalizi ya mabadiliko kwenye dakika za mwisho.

Hivi sasa, Ibrahima Konate na Youssef Fofana wako wameandaliwa ikiwa Dayot na Adrien watashindwa kucheza.

Tetesi zinasema kuwa Karim Benzema ambaye amekuwa majeruhi na kushindwa kucheza hata mechi moja ya Kombe hili la Dunia,sasa yupo fit na ameshaanza mazoezi tangu Jumamosi, hivyo atakuwa tayari kujumuika na kikosi ikiwa atahitajika.
 
Hizi taarifa za kitenge hizi mhhh?? Sisi tunamsubiri Fabrizio Romano
 
Back
Top Bottom