Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
 
Ukiacha kufunga alvarez kafanya nini? MOTM wanangalia statistics zote sio kufunga tu.
 
Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
 
Team Messi huwa mnanichosha hapo tu, hamuwezi sheherekea vitu vyenu kimya kimya mpaka msumbue watu waliolala zao..!!😔😔😔
Depal and Fohadi nina neno nanyi ndugu zangu...!!
Raha ya pilai nyumba ya kupanga jirani alisikie likinukia

Sema nakuheshimu tu 😀
 
Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
We hukuona alichofanya eeh
 
[emoji3] "kutandika reli".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…