Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Baada ya Saa 6 usiku[emoji1313][emoji1313]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku mbappe huku benzema sijui andunje atachomoka vipi
Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .

Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
Mashabiki wa Messi ni wagonjwa wa akili
Ulikuwa unaangalia mpira kwa livescoreDunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Utaiua hiyo takataka
We hukuona alichofanya eehDunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
[emoji3] "kutandika reli".Nawaombea France wapite leo dhidi ya Morocco kwa sababu kuu mbili:
- Morocco wanacheza mpira wa kihuni unaofanana na wa Argentina. Morali yao ni kubwa sana, tukikutana fainali itakua mechi ngumu zaidi. Ufaransa wanacheza soft ball, na tayari kwa Argentina hii soft ball imeprove failure.
Morocco wancheza sana aerial balls, na wako na average height kubwa kuwazidi Argentina. Hilo linaweza kua tatizo kwa Albiceleste. Ila wafaransa wanategemea zaidi mbio, kitu ambacho sioni kikiwasaidia kwa Argentina. Unakimbia vipi na mpira wakati kila baada ya hatua tatu, wahuni wanatandika reli?
- Sababu ya pili, ni kwaajili ya haters wa Argentina. Ufaransa ndio kichaka chao cha mwisho kilichobakia. Walijifcha kwa Australia tukawakurupusha. Wakakimbilia kwa uholanzi, tukawatimua. Wakaingia kichaka cha Croatia, tukakitia moto. Sasa wamekimbilia France. Inabidi wafuzu hao France ili tumalizie kazi yetu.
Wakifuzu Morocco alafu tukawapiga, hawa wapuuzi wa humu watasema Morocco ni wadhaifu. Acha aje huyo mbabe wao ili wakose kisingizio!
NB: kama hautaki Argentina wafunge magoli ya penati, waambie wachezaji wa team lako wacheze kwa adabu na akili. Wakitumia miguvu bila akili, sisi tutapiga tu hizo penati hata tukipewa saba kwenye mechi moja.
Na kama unadhani kufunga kwa penati ni rahisi, muulize Mbappe kilichomkuta kwenye Euros. Waulize mabishoo wako wa Brazil, na umuulize Harry Kane!
Unajua kwanin hapa ni lost ?Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
Wap wametujumuisha?Morocco leo wanatoka washajitia nuksi kujumuisha mataifa ya watu weusi kwenye ushindi. Wangepiga kimya.
Watu weusi sio watu ni vitu.
Na hapa usipoelewa basi wewe ni zuzu...Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?