Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Morocco wanataka kuleta mechi ya ushindani kuja na back 5, lakini naamini km wataanza concede goli wameisha, France wana wachezaji wazuri
 
Huyo mdau uliye mquote sijui kaitolea wapi hiyo lineup
Kwani wewe umeitolea wapi, mimi nimepata kwenye page ya fifa. Fanya comparison na hiyo nyingine, kama unajua mpira utaona formation ni ile ile. Fullbacks wanacheza kama wingbacks kama wakishambulia, wakishambuliwa wanacheza kama mabeki, tofauti iko wapi hapo
 
Wakati huo waaargentina tukisubiri final
Kule upande mwengine rubani wa ureno ameshawashusha wachezaji kwenye klabu zao.
Ila kasoro mtu mmoja ndiye bado yupo rubani anamuuliza unaelekea team gani nikupeleke?

Siku ya NNE sasa wanazunguka tu angani.
So fair mkuu,cr7 yupo zake uwanja wa real madrid na mwanae wanapiga tizi kama kawa bt wanapigia tizi upande tofaut na alipo ancellot.
Hawana baya.
 
Morocco wanataka kuleta mechi ya ushindani kuja na back 5, lakini naamini km wataanza concede goli wameisha, France wana wachezaji wazuri
Fatigue ya kucheza mechi ngumu mfululizo huenda ikawa tatizo kwa Morocco..........japo sio lazima maana Waarabu wakiamua kukomaa wanakomaa hasa.

Ila hapo kwenye kuzuia Morocco wapo vizuri na wapinzani wapo vyema kwenye ushambuliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…