Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Defensive approach! Waarabu bwana!!View attachment 2446916

Hiyo line up sijui umeichukulia wapi😃
Screenshot_20221214-211508_FotMob.jpg
 
Kwan mess kawafanya nni watu maaana sasa hiv watu wanashabikia ufaranc
Wakati hapo awali walikuwa wasahabiki wa timu zungine naw na morroco wanamkataaa hasa watu weusi wanajiona eti ufaransa ndio mtu sahihi kisa ngozi yako
 
Natamani itengenezwe sheria maalum game hii wakitoa droo dk 90 wote wafuzu watengeneze kikosi kimoja kicheze fainali na Argentina.. Bado Messi atawaburuza tu
Acha dharau wew Yani argemfyko wakumchangia kweli Yani France tuchangie wachezaji sababu ya argemfyko mbuzi we nyiny tafteni na refa kabisa wakuwapa penati au ndio mshasahau tulichowafanyia 2018
 
Back
Top Bottom