Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sema faida wamepata sana kifedha na connection zaidi
Kwenye faida sidhani , Uwekezaji zaidi ya dola bilioni miatatu ...

Labda kwenye siasa za kijiopolitiki .. nako ni labda , ngoja tutaipima after world cup kuishà..

The world is a canvas, nations are artists .. Qatar kashachora mchoro wake na Ni mchoro bora zaidi .

Ameshaandika historia ..
 
Mchongo tuuu,ile si penalty.

Kipa hajacheza rafu kwa makusudi pale,refa kafeli sana

Basi sawa toeni ilo goli moja la penati zibaki goli mbili hapo napo bado wanabebwa

Kwanza fifa hawez kupanga kipa acheze vile alivyocheza sasa sijui kubebwa kunatokea wapi
 
Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Most overrated ... Kama ni mtazamo binafsi sawa.
 
Wakati huo waaargentina tukisubiri final
Kule upande mwengine rubani wa ureno ameshawashusha wachezaji kwenye klabu zao.
Ila kasoro mtu mmoja ndiye bado yupo rubani anamuuliza unaelekea team gani nikupeleke?

Siku ya NNE sasa wanazunguka tu angani.
Hahah wamlete simba agombanie namba na Phiri
20221214_183355.jpg
 
Kwenye faida sidhani , Uwekezaji zaidi ya dola bilioni miatatu ...

Labda kwenye siasa za kijiopolitiki .. nako ni labda , ngoja tutaipima after world cup kuishà..

The world is a canvas, nations are artists .. Qatar kashachora mchoro wake na Ni mchoro bora zaidi .

Ameshaandika historia ..
Faida hawajapata hao....
 
Hizo tuzo Messi hakujipa mwenyewe hivyo lawama wape waandaji wa tuzo.
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.

2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.

2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]

Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira View attachment 2446517
 
Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Bao zote tatu messi kahusika halafu nimpe alvarez naumwa ama
 
Back
Top Bottom