Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Unadhani vijisenti vya FIFA vinaweza kufikia Cost / Hasara ya mfano Kevin De Bruyne angeumia ?Clubs huwa zinalipwa na FIFA according to the number of players involved in the WC competition, nadhani Man City ndio wametoa wengi
Sasa hivi nina uhakika Pep anashukuru Norway hawamo kwenye worldcup na Halland amepumzika...
Kuna kipindi Makocha walikuwa wanajiuliza mara mbili mbili kusajiri African players sababu ya African Nations inawakosesha baadhi ya mechi...
Robin Van Persie alikuwa akienda International Duty anarudi ameumia....