Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Clubs huwa zinalipwa na FIFA according to the number of players involved in the WC competition, nadhani Man City ndio wametoa wengi
Unadhani vijisenti vya FIFA vinaweza kufikia Cost / Hasara ya mfano Kevin De Bruyne angeumia ?

Sasa hivi nina uhakika Pep anashukuru Norway hawamo kwenye worldcup na Halland amepumzika...

Kuna kipindi Makocha walikuwa wanajiuliza mara mbili mbili kusajiri African players sababu ya African Nations inawakosesha baadhi ya mechi...

Robin Van Persie alikuwa akienda International Duty anarudi ameumia....
 
Kaeni kwa kutulia wakuu...
Watakaofika fainal, mwenye uwezo wake ndani ya uwanja dk 90 au 120 ndiyo atabeba....

Iwe kwa mikwaju ya penati au vyovyote lazima mshindi wa ndoo ya dunia lazima tumpate tu...

Hakuna haja ya kubishaana sana, tusubiri game tamu ya usiku wa leo tumpate mtabe ataemenya na mshindi wa ½ fainali ya kwanza...

Nilishasema, kuchukia/ kubeza timu au wachezaji wa timu anayoshabikia mwenzio haitasaidia timu yako kufanya vizuri au haitazuia timu nyingine kushinda kama ina uwezo huo...

Swala ni uwezo ndani ya uwanja dk 90 au 120 na siyo kubishana kwa kuangalia rekodi za nyuma na historia pekee....

Mwisho yoyote anaefika hatua flani jua kafika kwa uwezo wake ndani ya uwanja... kazi yetu ibaki kuchek na kufurahia mpira mzuri...

Kaeni kwa kutulia wazeia, hili goma linogile....

Kubishana, kutambiana ndio ladha ya mpira sheikh
 
IMG_6266.jpg
 
Back
Top Bottom