United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Wanajipendekeza kweli Morroco walishawakata wao wanapigana Kwa ajili ya warabu na wamorroco Leo France tunapiga Morroco jumapili tunapiga huyu tumbuli Messi ili kelele zipungueUshindi ni wa Morocco na Waarabu tu
Nyie wengine mbona mnaitaja taja nchi yetu ya Morocco na sisi waarabu
Tulia leo tunavyomnyeshea ufaransa mvua ya magholi sisi waarabu