BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinategemea kwenye bahati lakini leo wanaenda kukutana na kitu cha kitofauti kabisasipendi hizi timu zinazopenda kupaki Basi
Hii lineup ya wapi?Hiyo line up sijui umeichukulia wapi😃
View attachment 2446921
Kwani uoni kwamba hap namba 3 na 2 ni mabeki ?Hiyo line up sijui umeichukulia wapi😃
View attachment 2446921
Mwanamke una roho ngumu sana wewe maana umebadilisha mabwana mwezi mzima unarukaruka.😂Tunaendelea kuandaa makwapa yetu kwa ajili ya kunyanyua kombe
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sasa mnatuchanganya which is which?Hiyo line up sijui umeichukulia wapi😃
View attachment 2446921
Unamaanisha morocco mkuu, this is world cup lolote linaweza kutokea ila leo kadandia mtumbwi wa vibwengwo.Bingwa wa mwaka huu ni team ambayo haijawahi kutwaa hilo kombe.
Wakatae wakubali huo ndio ukweli wenyewe.
Umechagua huzuni kwa akili zako timamuKwangu mimi natamani kuona Ufaransa/Morocco akichukua ubingwa. Ila siyo Argentina.
Na ndio itawapeleka fainaliDefensive approach! Waarabu bwana!!View attachment 2446916
Khekhekhekhe acha nicheke kiarabu kwanzaMwanamke una roho ngumu sana wewe maana umebadilisha mabwana mwezi mzima unarukaruka.😂
Huyo mdau uliye mquote sijui kaitolea wapi hiyo lineupSasa mnatuchanganya which is which?
Najionea wakimbizi mnavyorukaruka, kila siku timu mpya kisa ni Messi.😂5-4-1 leo haitafanya kazi mbele ya ufaransa
Kwahiyo wanatumia 5-4-1 sio?Huyo mdau uliye mquote sijui kaitolea wapi hiyo lineup
Acha dharau wew Yani argemfyko wakumchangia kweli Yani France tuchangie wachezaji sababu ya argemfyko mbuzi we nyiny tafteni na refa kabisa wakuwapa penati au ndio mshasahau tulichowafanyia 2018Natamani itengenezwe sheria maalum game hii wakitoa droo dk 90 wote wafuzu watengeneze kikosi kimoja kicheze fainali na Argentina.. Bado Messi atawaburuza tu
Watu wamehama timu zaidi ya 9Kwan mess kawafanya nni watu maaana sasa hiv watu wanashabikia ufaranc
Wakati hapo awali walikuwa wasahabiki wa timu zungine naw na morroco wanamkataaa hasa watu weusi wanajiona eti ufaransa ndio mtu sahihi kisa ngozi yako