Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Achana na huyo dwarf leo tulia cheki mpira unavyo pigwaNajionea wakimbizi mnavyorukaruka, kila siku timu mpya kisa ni Messi.😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na huyo dwarf leo tulia cheki mpira unavyo pigwaNajionea wakimbizi mnavyorukaruka, kila siku timu mpya kisa ni Messi.😂
She changed har nameMiss Mbappe leo najua upo Ufaransa
Yani hata mimi. Sipendi kabisa zinasababisha mechi inakuwa mbaya.sipendi hizi timu zinazopenda kupaki Basi
NdioKwahiyo wanatumia 5-4-1 sio?
France ukika nyuma unatafta msiba maana utaletewa moto mda wote ukipishananao watakua kweny counter attack Morroco yey achague mwenyewe atakufa kifo Gani5-4-1 leo haitafanya kazi mbele ya ufaransa
Basi tafuta team nyingne kabisa maana kitawakuta kibayaNdio
Leo mimi pia nasimama na mbappe maana nataka nilipe kisasi cha 2018 Russia kwenye fainali.Achana na huyo dwarf leo tulia cheki mpira unavyo pigwa
Kweli kabisa. Kale kajamaa na timu zake zote alizowahi kuchezea, sijawahi kumkubali/kuzikubali hata siku moja.Teh teh teh 😂😂😂 naamini tatizo sio Argentina ila ni Messi.
Its Pancho Greatest Of All Time Nakadori
😂😂😂😂😂😂😂Miss Mbappe leo najua upo Ufaransa
Kwani wewe umeitolea wapi, mimi nimepata kwenye page ya fifa. Fanya comparison na hiyo nyingine, kama unajua mpira utaona formation ni ile ile. Fullbacks wanacheza kama wingbacks kama wakishambulia, wakishambuliwa wanacheza kama mabeki, tofauti iko wapi hapoHuyo mdau uliye mquote sijui kaitolea wapi hiyo lineup
So fair mkuu,cr7 yupo zake uwanja wa real madrid na mwanae wanapiga tizi kama kawa bt wanapigia tizi upande tofaut na alipo ancellot.Wakati huo waaargentina tukisubiri final
Kule upande mwengine rubani wa ureno ameshawashusha wachezaji kwenye klabu zao.
Ila kasoro mtu mmoja ndiye bado yupo rubani anamuuliza unaelekea team gani nikupeleke?
Siku ya NNE sasa wanazunguka tu angani.
Kwamba huon alichokifanya?Kwann Alvares Apewe man of the match?
Fatigue ya kucheza mechi ngumu mfululizo huenda ikawa tatizo kwa Morocco..........japo sio lazima maana Waarabu wakiamua kukomaa wanakomaa hasa.Morocco wanataka kuleta mechi ya ushindani kuja na back 5, lakini naamini km wataanza concede goli wameisha, France wana wachezaji wazuri