Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata dstv ninapoangalizia hapa bar screen ni nyeupe
Haina quality kubwa. Au ni aina ya TV inakuwa na quality mbaya ya video.
Labda TV Mkuu ila quality ya picha ya TBC na WCA HD au WCC HD tofauti ni kubwa sana
 
Huyu Dembele wasipomuangalia atawadhuru.Hawatakiwi kumuachia nafasi ya kuleta cross langoni kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…